Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam
PUNGUZO LA BEI LIMETOKEA HAPA KUTOKA 400K MPAKA 350K X6
SASA ILIPWE LAKI TATU NA NUSU MALIPO YA MIEZI SITA
STAND ALONE IPO TABATA KISUKURU (MIGOMBANI)
SIFA ZAKE
#VYUMBA VITATU VYA KULALA
#KIMOJA MASTER
#SEBULE
#JIKO KIBWA
#DINING
#STORE
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENCE PARKING SPACE IPO MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
N.B NYUMBA HII ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 24.01.2025 KUONA NA KULIPIA RUKSA KABISA
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA 15,000 MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA
Simu
0679997610
0658884015
Msigwa