Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam
Nyumba inapangishwa Tabata Kimanga. (IPO PEKEE YAKE NDANI YA FENCE).
- Vyumba vitatu (kimoja master)
- Sebule
- Dinning
- Jiko lenye makabati
- Public toilet
- Maji 24/7
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Paving
- Parking
- Fence
- Dakika 0 kutoka kituoni
Kodi 500,000/=.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga ๐ 0688 412 890.