Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam
STAND ALONE YA NGUVU INAPANGISHWA 600K X6
ILIPWE LAKI SITA MALIPO YA MIEZI SITA
LOCATION TABATA KINYEREZI (KWA DITOPILE) UNAWEZA PITIA BONYOKWA KUTOKA KITUONI DK 10-12 BODA BUKU
SIFA ZAKE
VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA WAPO MASTER
SEBULE
DINING
JIKO ZURI LA KISASA LENYE MAKABATI
FULL A,C
PARKING SPACE KUBWA SANA
SERVICES CHARGE 15,000 KUONA NYUMBA
MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA
Call 0659244543