Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam







KODI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA 
=============
LOCATION: TABATA KISUKURU MIGOMBANI 
=============
SIFA ZAKE 
=========
VYUMBA VITATU VIKUBWA
KIMOJA MASTER KUBWA 
SEBULE KUBWA 
DAINING 
JIKO ZURI KUBWA 
STOO
PUBLIC TOILET 
=============
NYUMBA INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYEWE APO IPO NDANI YA FENCE PARKING SPACE KUBWA MAZINGIRA MAZURI GARDEN SAFI USALAMA WA KUTOSHA 
================
UFIKAJI 
=======
UKITOKEA UBUNGO EXSTENO UNAFIKA 
UKITOKEA TABATA KIMANGA UNAFIKA 
UKITOKEA TABATA SEGEREA UNAFIKA 
================
BRBR NI RAFIKI KABISA KWA GARI YA AINA YOYOTE WALE WA MAGARI YA CHN MSIHOFU KABISA
================
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA 
============
CONTACT
0715949085
0782838336




















