Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa inapangishwa Tabata Segerea Bonyokwa Stendi. (IPO PEKEE YAKE NDANI YA FENCE).
- Vyumba vitatu (kimoja master)
- Sebule
- Jiko
- Public toilet
- Water reserve tank
- Maji 24/7
- Paving
- Parking
Kodi 400,000/=.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 0688 412 890.