Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa Tabata Dar West.
- Vyumba vitatu (kimoja master)
- Sebule
- Dinning
- Jiko lenye makabati
- Public toilet
- Maji 24/7
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Paving
- Parking
- Fence
- Dakika 0 kutoka kituoni.
Kodi 400,000/=.
UKARABATI ANAFANYA IKIWEMO RANGI NA MAKABATI.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 0688 412 890.