Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







House for Rent Stand Alone Inajitegemea Fancy yake Mwenyewe INAFAA Office NK
Location Ubungo Riverside Dakika 8 Kutembea mpaka Kituoni Barabarani Mandela Road
Kodi 500000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa zake
=========
Room 3 Moja ni Master Bedroom Kubwa sana
Sitting room Kubwa
Dining room table
Jiko
Public toilet ndani na Nje ipo ya wa geni
Luku yake
Maji Dawasa ndani mita yake
Parking space fancy
Pavin Block
Garden nzuri
Store ya Nje
Good environment
Piga sim Kwa Maelezo zaidi
#0710614924
#0688653940