Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


#NYUMBA_#MPYAA_KUBWA_INAYOJITEGEMEA_YENYEWE_KWENYE_FENSI INAPANGISHWA
#BEI NI 500,000/= X 6
🌟🌟 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA VIKUBWA SANA
#CHUMBA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINING KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET NDANI
#FULL ALLUMINIUM
#PARKING KUBWA
#FULL PARVING
#TANK LA MAJI
#BEI NI 500,000/= X 6
🇹🇿🇹🇿 NYUMBA HII INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI YAKE IPO
#LOCATION #UBUNGO_MAKOKA
#USAFIRI BAJAJ 700 KUTOKEA KIMARA KOROGWE MWENDOKASI AU UBUNGO RIVERSIDE
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
#DALALI_AMBWENE_UBUNGO
#0712348316 Whatsp
#0769680796 whtsp