Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam
🔥 Nyumba Kubwa Inapangishwa, UBUNGO KIBO
📍 300,000/= ×6
_________
__
#Umbali wa dakika 4 tu hadi kituo cha Mwendokasi
• Vyumba 3 Vya kulala (kimoja master)
• Sebule
• Dinning Area
• Jiko
• Public Toilet
* Inajitegemea UMEME
* Maji Ndani
* Ipo Ndani yq Fensi
* Haina Parking
______
*MUHIMU SANA:-*
#Malipo ya Dalali Nasoni ni Tsh. 300,000/=
#Kupelekwa Kuona 15,000/=
№:- 0753172516