Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







*๐NYUMBA STAND ALONE YA KIFAMILIA
๐INAPANGISHWA
๐INA VYUMBA 3 KIMOJA MASTER SEBULE NA JIKO NA DINNING
๐BEI 500K TYU
๐LOCATION UBUNGO EXTERNAL MAJICHUMVI
๐NJOO CHAP.NYUMBA HAIKAI HII YAKUWAHI
๐NATUDIA TENA INAJITEGEMEA PEKE AKE KWENYE GETI NA PARKING KUBWA SANA YAKUTOSHA
๐NYUMBA IKO DAKIKA MBILI TOKA LAMI
....WAHI CHAP KWAHARAKA....*