Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







STAND ALONE NZURI INAPANGISHWA BEI 300,000X4 TUCHANGAMKE
LOCATION ๐ UBUNGO EXTENAL MAKOKA KWA MKUA KM 2.5 USAFIRI BAJAJI 700 DALADALA 500 UKISHUKA UNAPIGA TEKE
DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#VYUMBA 3 KIMOJA MASTER
#SITING ROOM & DAINING TABLE
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PABLICK TOILET NDANI
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NYUMBA HAINA FENSI ๐ซ USALAMA KAMA UPO IKULU
UKALI HUU HAPA NAFAULISHA HAPA, NJOO KWA BUSARA UKILETA UJUAJI UTAUMBUKA
##0655256419