Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


🏠 NYUMBA INAPANGISHWA 🏠
📍 MAHALI: UBUNGO MSEWE (KARIBU NA SHELI MPYA BARUTI)
🏡 AINA: STAND ALONE HOUSE
✨ VYUMBA VYA NDANI:
• VYUMBA 3 (KIMOJA NI MASTER)
• SEBULE KUBWA
• JIKO LENYE CABINET
• CHOO CHA NDANI (PUBLIC TOILET)
• BALCONY
✨ HUDUMA ZA ZIADA:
• FULL AC ❄️
• HEATER 🔥
• FENI ZA JUU (BURE)
• PARKING IPO 🚗
• PAVING BLOCK NJE
• ULINZI WA KUDUMU 🔐
💵 BEI YA KODI: TSH 1,200,000/=
📆 MUDA: MIEZI 4 – 6
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 20000 KWENDA KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347