Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


:
πππππ½πΌ πππππ ππΌ ππππΌπππΌ #πππΌππΏ_πΌππππ
#ππ€πππ©ππ€π£: UBUNGO EXTERNAL
Umbali wa Kutembea kwa Mguu Dakika 2 Kutoka Kwenye Lami
#ππππ_πππ π
============
β’ SEBULE KUBWA
β’ DINING
β’ VYUMBA VITATU VYA KULALA NA KIMOJA WAPO MASTER
β’ JIKO KUBWA
β’ PUBLIC TOILET
β’ GARAGE YA GARI
β’ GARDEN
β’ STOO
Nyumba inajitegemea yenyewe Ndani ya Fensi Umeme LUKU na Maji DAWASA yanaflow ndani.
#ππ€ππ_π π¬π_ππ¬ππ―π π£π Tsh. 700,000 Malipo Miezi 6
#πΌπ£πππ‘ππ―π€
Survey Charge ni 20,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali.
#πΏππ‘ππ‘π_πππͺπ£ππ€
0716 776247 WhatsApp
0754 221168 WhatsApp