Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam
House for rent stand alone inajitegemea geti yake kali sana
Location ubungo barabara ya Maji chumvi Kisukuru
Kodi 600000 kwa Mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Room 3 moja ni Master bedroom
Sitting room
Kitchen
Umeme luku yake
Maji dawasa ndan yanafloo mita yake
Paving blok
Parking space fency
Dalali ubungo mbezi kimara
0785299128