Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







House for Rent Stand Alone Inajitegemea Fancy yake Mwenyewe Parking space fancy Kubwa
Location Ubungo Riverside Kibangu Dakika 12 Kutembea mpaka Kituoni Boda ni 1000 mpaka Gatetini Bajaji 500 Ukishuka Dakika 3
Kodi 500000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa za Nyumba
================
Room 3 Moja ni Master Bedroom
Sitting room
Kitchen with Cabinet
Public toilet ndani
Bafu
Luku yake
Maji Dawasa ndani mita yake
Parking space
Tiles
Gypsum
Dirisha shata
Good environment
Piga sm usitume sms utachelewa Kujibiwa
0712500602 wtsp
0755336565