Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







House for Rent Stand Alone Inajitegemea
Location Ubungo Makoka
Kodi 350000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa za Nyumba
=============
Room 3 Moja ni Master Bedroom
Sitting room
Dining room
Kitchen
Public toilet ndani
Luku yake
Maji Dawasa ndani mita yake
Slide window
Tiles
Gypsum
Good environment
0713661530_0783661530