Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







(600,000X6) UBUNGO MSEWE DK 10 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖
Stand alone
Vyumba 3 kimoja master public toilet jiko dining sebule ndan ya fence parking ipo bei 600k hapa ubungo msew dakika 10 mpaka morogoro road
➖➖➖➖➖➖➖
HUDUMA
LUKU YAKO
METRE YA MAJI YAKO
MAJI YANATOKA NDANI
PARKING
➖➖➖➖➖➖➖
NB: UKILIPIA NYUMBA INARUDIWA RANGI...
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI
➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453