Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Uwanjani, Songwe







NYUMBA YA KIFAMILIA INAPANGISHWA
LOCATION:
KWA MSUGURI
UMBALI KUTOKA STEND DAKIKA 7 KWA MIGUU
SIFA ZAKE:
VYUMBA 3 VYA KULALA VIKUBWA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA SANA
DINING TABLE
JIKO ZURI LENYEMAKABATI
STORE
PACKING SPACE KUBWA
UWANJANI PAVING BLOCK
ZIPO MBILI NDANI YA FENCE
HII MOJA NDIO IPO WAZI
UMEME LUKU YAKE
MAJI MITA YAKE
KODI 500,000 X 4
KUONA ELFU 15
MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
###0655256419