Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Wazo, Dar Es Salaam







Nyumba Inapangishwa. Inajitegemea, Ipo Wazo Msigani
Ina Vyumba vitatu vya kulala, Viwili ni Master, Dining Room, Sitting Room, Kitchen, Public Toilet.
Umeme wa Luku
Dawasa
Bei ni laki Saba kwa Mwezi.(700,000)
Gharama ya kuona
20,000
Wasiliana nami
0718 809 744