Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Wazo, Dar Es Salaam


🏡 STAND ALONE HOUSE INAPANGISHWA – TEGETA WAZO
Unatafuta nyumba ya kifahari, yenye nafasi kubwa na mazingira tulivu?
Hii ni fursa sahihi kwako!
✨ SIFA ZA NYUMBA:
🛏️ Vyumba 3 vya kulala
🛁 Master bedroom 2 (en-suite)
🚻 Public toilet
🍽️ Jiko la kisasa lenye makabati
❄️ Full Air Condition (A/C zote)
🌳 Garden kubwa na safi
🏡 Stand Alone – faragha ya hali ya juu
🚗 Nafasi ya parking
📍 LOCATION:
Tegeta Wazo – karibu na huduma muhimu
💰 BEI:
Tsh 1,200,000 kwa mwezi
📞 Wasiliana nasi sasa:
#0758998074👈
#0689138795whatsapp


















