Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Wazo, Dar Es Salaam







Nyumba inapangishwa inajitegemea, Ina vyumba vitatu vya Kulala, viwili master, dining, sitting, kitchen. Na Ina baikota chumba kimoja. Kuna system camera Air condition Umeme wa Tanesco na Solar Maji ya dawasaGarden Ipo Tegeta Wazo Msigani Bei Laki 700.000
mwezi Malipo miezi
Gharama za kuona 20000 Karibuni Sana 0718 809 744