Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Wazo, Dar Es Salaam


STAND ALONE INAPANGISHWA – TEGETA WAZO | TSH 1,500,000
Nyumba nzuri ya kujitegemea inapangishwa, ipo eneo tulivu na salama Tegeta Wazo.
🏠 Muundo wa Nyumba:
🛏 Vyumba 3 (1 Master)
🛋 Sebule
🍽 Dining
🍳 Jiko
🚽 Public toilet
🧺 Stoo
💧 Maji ya uhakika
⚡ Umeme upo
🚗 Parking inatosha
💰 Kodi: Milioni 1,500,000 kwa mwezi
📞 Wasiliana: #0689138795whatsapp
#0758998074👈
🚶♂️ Gharama ya kwenda kuona: TSh 30,000
#NyumbaInapangishwa #TegetaWazo #StandAloneHouse #DalaliWaKuaminika #realestatetz