Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Wazo, Dar Es Salaam



Nyumba inapangishwa inajitegemea, Ina vyumba vitatu vya Kulala, viwili master, dining, sitting, kitchen. Na Ina baikota chumba kimoja. Kuna system camera Air conditio Umeme wa Tanesco na Solar Maji ya dawasa Garden Ipo Tegeta Wazo Msigani Bei Laki Sita kwa mwezi Malipo miezi 6.50000 Gharama za kuona 20000 Karibuni Sana 0718 809 744 / 0784234971