Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Bunju, Dar Es Salaam
PAGALE KUBWA KABISAAA LINAUZWAAA BEI YA KUTUPA WATEJAA ZANGUUU
LOCATION:BUNJU (A) MJI MPYAAA
UMBALI KUTOKA LAMIII NI KM:3.5
BEI YAKE:MILION 50 MAONGEZI YAPO
NYARAKA:HATIII MKONONI
HUDUMA ZA KIJAMIII ZOTE ZIPOO
BARABARA NI RAFIKII KWA AINA YOYOTE YA GARIII
SIFA YA PAGALE
✅VYUMBA VITATU VIWILI MASTER
✅SEBURE KUBWA
✅DINNING
✅JIKO KUBWA
✅STOOO
✅CHOO CHA PUBLIC
✅MASHIMOOO YA CHOO TAYARI
✅MAJI YAPO DAWACOO
UKUBWA WA ENEO NI SQMT:600
CONTACT
0782428327