Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Bunju, Dar Es Salaam







TSHS MIL 250,#NYUMBA_INAUZWA#IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI- BUNJU MIANZINI
_____________________
UKUBWA WA ENEO LAKE SQM 600
__________________
NYARAKA ZA UMILIKI HATI SAFI
________________
NYUMBA MPYA YA KISASA
____________
YA FAMILIA KUBWA
_________
INAJITEGEMEA
___________
YENYE;-
Vyumba vitatu vya kulala Master, Sebule, Dinning Jiko, Stoo Choo/Bafu vya public
Gypsum Tiles Slides Windows
Umeme x Maji vyote vipo
Cars Parking space ipo
Nje Pavingblocks
Fencedhouse
Garden
_________
____
#NB;-NYUMBA NZURI SANA KWA FAMILIA YAKO MTAA MZURI HAINA MGOGORO, KESI, SIO YA URITHI MWENYEWE MZIMA WA AFYA TUNAPUMUA NAYE HAYUPO ICU NI KUNUNUA NAKUHAMIA HAPO HAPO WAZUNGU WANASEMA IMMEDIATELY! ๐ค
____
BEI INAUZWA TSHS MIL 250
Maongezi yapo
__
_
KWA MAELEZO ZAIDI TUPIGIE;
dalalimbezibeach_goba_salasala
#0715127812call