Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Bunju, Dar Es Salaam


๐ NYUMBA MPYA INAUZWA - BUNJU A
๐ Mahali: Bunju A - Njia ya Fanaka Secondary
๐ Ukubwa wa Kiwanja: 20m x 20m (SQM 400)
๐ Hati Miliki: Hati Mauziano ya Serikali ya Mtaa
๐๏ธ Mazingira: Ipo katika mtaa mzuri wa kisasa na unaofaa kwa makazi
๐ก SIFA ZA NYUMBA:
๐๏ธ Vyumba 3 vya kulala (1 ni Master)
๐ฝ Choo cha Public
๐๏ธ Sebule kubwa
๐ณ Jiko lina nafasi kubwa
NOTE: Nyumba ni Mpya Hajawahi kuishi Mtu
๐ฐ Bei: Milioni 85 TSH (Maongezi yapo kidogo)
---
๐ Wasiliana Nasi kwa maelezo zaidi au kuona nyumba:
๐ฒ 0687 800 788
๐ 0713 958 395