Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Bunju, Dar Es Salaam


*Nyumba inauzwa Bunju B*
*Distance* Kutoka Bunju stand pikipiki 1000.
Dakika 7 mpaka 10 kwa kutembea.
-Vyumba vitatu kimoja master
Sebule (ndani)
Jiko(ndani)
Choo/bafu (ndani)
Stoo (nje)
Choo/bafu (nje)
Frem moja ya biashara.
0713 636000
-Plot size Sqmtrs 300
-Hati miliki (title deed)
*Bei shilingi milioni 90 maongezi kidogo*