Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Bunju, Dar Es Salaam


🏡 NYUMBA INAUZWA – BUNJU B, DAR ES SALAAM
✨ Maelezo ya Nyumba:
Eneo: Bunju B
Ukubwa wa kiwanja: 1,000 sqm
Vyumba vya kulala: 3 (vyote self-contained)
Sebule kubwa
Chumba cha chakula (Dining Room)
Jiko (Kitchen)
Public Toilet
Servant Quarter yenye vyumba 3
💰 Bei: TSh 250,000,000 (Maongezi kidogo yapo)
📍 Mazingira tulivu, salama, na karibu na huduma muhimu kama shule, soko, na usafiri wa uhakika.
📞 Wasiliana: Whatsapp +255715919296
Latifa Mbonde