Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Bunju, Dar Es Salaam
TSHS MIL 140, NYUMBA INAUZWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-BUNJU KWA BAHARIA
UKUBWA WA KIWANJA KIMEPIMWA SQM 600
NYUMBA MPYA YA KISASA
NZURI YA FAMILIA
YENYE;
Vyumba vitatu vya kulala kimojawapo ni master, Dinning, Sebule, Jiko zuri , Choo & Bafu vya ndani
Gypsum Tiles Slides Windows
Umeme x Maji
Cars Parking space ipo
Nje Pavingblocks
Securityfenced
BEI INAUZWA TSHS MIL 140
MAONGEZI YAPO PIA
KWA MAELEZO ZAIDI
dalalimbezibeach_yohana
#0686829311
#0785008204/call WhatsApp
#0654929655