Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Bunju, Dar Es Salaam


DATE: 17/10/2024
NYUMBA INAUZWA
___________
LOCATION: BUNJU 'A' SHULE - Karibu na Barabara ya Lami.
___________
KIWANJA: Kina ukubwa wa Nusu Heka
___________
Kuna Nyumba ina Vyumba 3 vya kulala, Chumba 1 Master, Sebure, Dining, Jiko na Public Toilet. ( Inahitaji marekebisho madogo madogo)
Pia kuna Bicota ya Chumba na sebure.
Nafasi kubwa imebaki unaweza kujenga Appartments.
Maji ya Dawasco na Ina umeme wa Tanesco
BEI: TSH MIL 85. Ila maongezi yapo.
___________
Kwa Mawasiliano:-
Piga/WhatsApp : 0713 - 958 395
0687 - 800 788