Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Bunju, Dar Es Salaam


Nyumba inauzwa ipo bunju A kituo kwa jeshi ukubwa wa kiwanja Sqm 400 vyumba vitatu vya Kulala kimoja Master sitting room, dinning, kitchen, kuna ice chumba cha master na sebuleni bei million 120 karibuni Sana kwa mawasiliano tuwasiliane kwa namba 0718809744
0784234971