Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Bunju, Dar Es Salaam


NYUMBA INAUZWA
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI (STAND ALONE)
___________
LOCATION: BUNJU BEACH MOGA
___________
Nyumba ina Vyumba 3 vya kulala, 1 Master, Sebure,Dining, Jiko na Public Toilet.
KIWANJA: Kina SQM 1000
BEI: Tsh. Million 250.MIL maongezi yapo
#CALL 0713355828 AU 0616651976
#whatsap +255 713958553
___________
Service Charge: Tsh.30,000/=