Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Buswelu, Mwanza
NYUMBA INAUZWA BUSWELU WILAYANI
-ina vyumba vitatu vya kulala ( viwili ni self contained ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet
-ukubwa wa kiwanja ni 40x25 =1,000 sqm
-ina hati miliki mkononi
-bei Milioni 90
☎️ 0743220097