Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Buswelu, Mwanza


NYUMBA INAUZWA BUSWELU
-ina vyumba vitatu vya kulala ( kimoja ni self contained ), sebule, dinning, jiko na public toilet
-ukubwa wa kiwanja ni 30x15 =450 sqm
-kiwanja kimepimwa tayari
-bei Milioni 38
π 0743220097