Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Buswelu, Mwanza
NYUMBA INAUZWA BUSWELU - KIGALA
-ina vyumba vitatu vya kulala ( kimojawapo ni self contained ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet
-ukubwa wa kiwanja ni 705 Sqm
-ina hati miliki mkononi
-bei Milioni 40
☎️ 0743220097