Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Buswelu, Mwanza
NYUMBA YA KWANZA KUTOKA LAMI INAUZWA BUSWELU
-ina vyumba vitatu vya kulala ( self 1 ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet
-ukubwa wa kiwanja ni (30x20) SQM 600
-ina hati miliki mkononi
-bei Milioni 75
☎️ 0743220097