Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Chamazi, Dar Es Salaam


NYUMBA YA-KUHAMIA KWA TSHS.30 MILIONI TU, CHAMAZI.
Vyumba 3 ( Masta 1)
Sebule,Jiko na Choo cha Familia ndani.
Ipo ndani ya Fensi.
Huduma za Umeme na Maji zipo.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 40p.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Wahi ukichelewa tusilaumiane.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe MNUNUZI)
+255 714 591 548
__________mskv