Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Chamazi, Dar Es Salaam
NYUMBA YA VYUMBA 3, TSHS.50 MILIONI CHAMAZI.
Kiwanja SQM.320.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Vyumba 3 (Masta 1)
Sebule,Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuikagua ni Tshs.50,000.
(Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+25574591548
_____________gmmpg
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.