Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Chanika, Dar Es Salaam
Nyumba inauzwa ipo chanika location majumba sita, bei milioni 13 maongezi yapo kidogo. Nyumba ina rooms 3 vyakulala sitting room, dinning, jiko, room moja ni master bedroom, public toilet ipo, maji yapo yanatoka, na umeme pia upo. Kwa mawasiliano zaidi pga namba 0688559385 au pga namba 071925 0426.