Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Chanika, Dar Es Salaam






🏠 NYUMBA INAUZWA IPO CHANIKA ZINGIZIWA CENTRE BEI MILIONI 23,
0759128747 0624436503
0712058357 WHATSAPP
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA NI MASTER BEDROOM INA SITTING ROOM INA JIKO NA PUBLIC TOILETI UMEME MAJI NK,
📒 DOCUMENT ZA ADVOCATE ENEO SQM 400
K A R I B U N I S A N A
✍️ MWENYEWE ANA SHIDA INA SHUKA BEI NJOO UKAGUE CHAP 🏃♀️
NB : UKIIPENDA NYUMBA PIGA SIMU UKITUMA SMS MESSENGER UTACHELEWA KUJIBIWA 🙏 🙏