Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Chanika, Dar Es Salaam






Nyumba inauzwa ipo chanika mwisho nyumba ya vyumba 3 vya kulala master bedroom stingiroom daingiroom kitchen toilet public nyumba umeme karipia nyumba hati yake ya serekali ya mtaa ukubwa wa kiwanja futi 50 Kwa 40 nyumba Bei ml 35