Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Chanika, Dar Es Salaam
NYUMBA INAUZWA - CHANIKA ZINGIZIWA, DAR ES SALAAM! ๐กโจ
๐น Location: Chanika Zingiziwa, Wilaya ya Ilala
๐น Ukubwa wa eneo: Sqm 400
๐น Muundo wa nyumba:
Vyumba 3 vya kulala (1 ni master bedroom)
Sebule ya kisasa (Sitting room)
Jiko na store
๐ฐ Bei: TSH Milioni 25 tu!
Hii ni fursa adimu ya kumiliki nyumba kwa bei nafuu kabisa.
NB: HAKUNA BABA MWENYE GARI, BALI KUNA BABA MWENYE NYUMBA!
๐ Wasiliana nasi: 0657 840 010
๐ Mlewa Real Estate โ Tunakufanikisha ndoto yako ya kumiliki nyumba!
#nyumbakali
#viwanja
#viwanjadar
#nyumba