Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Chanika, Dar Es Salaam
"NYUMBA YA BEI NAFUU CHANIKA MWISHO! π‘β¨
β
Vyumba 3 vya kulala (kimoja ni master)
β
Ukubwa wa eneo: sqm 450
β
Ipo mita 100 tu kutoka barabara ya lami
β
Ina public toilet na sitting room
π Imebaki kufanyiwa finishing tu! Hii ni fursa ya kumalizia nyumba kwa mtindo wako na kuifanya iwe kama unavyotaka.
π° Bei: Milioni 33 tu!
π Wasiliana nasi: +255 657 840 010
π Ofisi zetu zipo Chanika, karibu na Benki ya NBC au Kituo cha Mafuta Oil Com.
Usikubali hii nafasi ikupite β miliki nyumba yako sasa!"
#nyumbabeinafuu
#viwanjabeinafuu
#viwanjamwanza
#viwanjabeipoa
#viwanja