Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Chanika, Dar Es Salaam


NYUMBA INAUZWA CHANIKA MWISHO MIL 6 ( INAUZWA NA BANK )
CONTACT: 0710013234
CONTACT: 0754908045
UKUBWA WA ENEO SQM 400
BEI TSHG MIL 6.000,000/=
BANDA LINA VYUMBA VITATU VYA KULALA CHUMBA NA SEBURE NA CHOO CHA NJE.
BARABARA YA MTAA IPO NA GARI INAFIKA MPAKA KWENYE NYUMBA NA ENEO LIPO LA KUTOSHA.
HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZIPO KAMA VILE UMEME - MAJI - SHULE NA HOSPITAL