Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Dumila, Morogoro
Dumila, Kilosa, Morogoro
1 month ago
Sh. 170,000,000
Nyumba zinauzwa dumila morogoro
Nyumba zipo kwenye eneo lenye ukubwa wa heka 3
Ina hati Halali
Ina nyumba kubwa mbili ZENYE vyumba vitatu na Choo na jiko
Kuna vyumba single 20
Ina master 10
Ina kisima
Ina store ya kuhifadhi NAFAKA mpak gunia 300
Ina Banda za kuku 2000
Bei milioni 170
Simu:0752481398