Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Goba, Dar Es Salaam


🇹🇿𝙉𝙮𝙪𝙢𝙗𝙖 𝙆𝙪𝙗𝙬𝙖 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 #𝙎𝙩𝙖𝙣𝙙_𝘼𝙡𝙤𝙣𝙚
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: GOBA NJIA NNE
Umbali wa Kutembea kwa Mguu Dakika Chache Kutoka Stand
#𝙎𝙞𝙛𝙖_𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• Sebule kubwa
• Dining
• Vyumba VITATU Vya Kulala na Kimoja Wapo ni Master
• Jiko Kubwa lenye Makabati
• Choo Kizuri Ndani
Nyumba INAJITEGEMEA Yenyewe Ndani Ya Fence Parking ipo Na UMEME LUKU Umeme Na Maji Yanaflow Ndani 24HRS
Price: 900,000
#𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Service Charge Ni 20,000 tu Utaonyeshwa Nyumba Zote Unazohitaji Zilizopo Na Malipo Ya Dalali.
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp