Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Goba, Dar Es Salaam
TSHS MIL 140, NYUMBA INAUZWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI- GOBA MWANZONI TOKA MASANA
UKUBWA WA KIWANJA KIMEPIMWA SQM 650
Ina hati miliki
NYUMBA MPYA YA KISASA
NZURI YA FAMILIA
YENYE;
Vyumba vitatu vya kulala kimojawapo ni master, Dinning, Sebule, Jiko zuri , Choo & Bafu vya ndani
Gypsum Tiles Slides Windows
Umeme x Maji
Cars Parking space ipo
Nje Pavingblocks
Securityfenced
BEI INAUZWA TSHS MIL 320
MAONGEZI YAPO PIA
KWA MAELEZO ZAIDI
#0715384892