Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Goba, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI SANA 🏡🏘️ INAUZWA
LOCATION: GOBA CENTRE MNADANI UMBALI WA MITA 700 KUTOKA BARABARANI
INA VYUMBA VITATU VYOTE MASTER SEBLE DINING JIKO NA PUBLIC TOILET PIA INA SERVANT KOTA. INA ELECTRIC FENCE NA FULL A/C
INA ENEO LENYE UKUBWA WA SQM 1000
PAMESHAPIMWA INA OFFER LATTER
BEI: TSH MILIONI 300 (MAONGEZI YAPO)
KWA MAWASILIANO ZAIDI
Call/ what’s up
+255673772289
+255683112588
Email:dalaliboris@gmail.com