Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Goba, Dar Es Salaam
NYUMBA INAUZWA
IPO GOBA, DAKIKA 3 KWA MIGUU KUTOKA BARABARA KUBWA YA LAMI YA MBEZI GOBA
BEI TSH MILIONI 120 MAZUNGUMZO YAPO
UKUBWA WA KIWANJA SQM 735
UMILIKI: HATI MILIKI TOKA WIZARA YA ARDHI
VYUMBA 3 VYA KULALA
VYUMBA VYOTE SELF
SITTING ROOM
DINNING ROOM
KITCHEN
STORE
PUBLIC TOILET
FENCED AND GATE
MAJI YAPO
UMEME UPO
PIA KUNA MABANDA YA KUFUGIA KAMA KUKU,BATA NA NK
GHARAMA YA KUPELEKWA SITE KUONESHWA NYUMBA TSH 30,000/=
#0710614924
#0688653940