Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Goba, Dar Es Salaam
TSHS MIL 150,#NYUMBA_INAUZWA#IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI- GOBA KINZUDI
_____________________
UKUBWA WA ENEO LAKE SQM 900
__________________
NYARAKA ZA UMILIKI UKINUNUA HATI INATOKA KWA JINA LAKO PAMEPIMWA
________________
NYUMBA MPYA YA KISASA
____________
YA FAMILIA KUBWA
_________
INAJITEGEMEA
___________
YENYE;-
Vyumba vitatu vya kulala Master, Sebule, Dinning Jiko, Choo/Bafu vya public Ac Ac
Gypsum Tiles Slides Windows
Umeme x Maji vyote vipo
Cars Parking space ipo
Nje Pavingblocks
Fencedhouse
_________
INA SERVANT QUITE
AMBAYO :-
Chumba kimoja choo chake na jiko la nje
____
#NB;-NYUMBA NZURI SANA KWA FAMILIA YAKO MTAA MZURI HAINA MGOGORO, KESI, SIO YA URITHI MWENYEWE MZIMA WA AFYA TUNAPUMUA NAYE HAYUPO ICU NI KUNUNUA NAKUHAMIA HAPO HAPO WAZUNGU WANASEMA IMMEDIATELY! 🤔
____
BEI INAUZWA TSHS MIL 150
maongezi kidogo
0658637690
Mr. Denisi